Ufafanuzi wa mujibu katika Kiswahili

mujibu

kielezi

  • 1

    kulingana na; kufuatana na.

    ‘Kwa mujibu wa sheria ya nchi anayeua mtu kwa makusudi naye huuliwa’

Matamshi

mujibu

/muʄibu/