Ufafanuzi wa mukafaa katika Kiswahili

mukafaa

nominoPlural miukafaa

  • 1

    mali zaidi ya mishahara wanayopewa wafanyakazi kutokana na faida iliyopatikana.

    bonasi

Asili

Kar

Matamshi

mukafaa

/mukafa:/