Ufafanuzi wa muktadha katika Kiswahili

muktadha

nominoPlural miuktadha

  • 1

    mazingira au hali ambamo tukio au jambo hutendeka.

  • 2

    mazingira ya neno katika tungo au sentensi yenye kuonyesha uhusiano wake na maneno mengine.

Asili

Kar

Matamshi

muktadha

/muktaða/