Ufafanuzi msingi wa munda katika Kiswahili

: munda1munda2munda3

munda1

nominoPlural miunda

 • 1

  chusa kikubwa.

Matamshi

munda

/munda/

Ufafanuzi msingi wa munda katika Kiswahili

: munda1munda2munda3

munda2

nominoPlural miunda

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  ubao unaotumiwa kuundia jahazi na vyombo vya bahari.

 • 2

  Kibaharia
  ubao unaowekwa ndani ya chombo cha bahari k.v. jahazi ili kuzuia mataruma yasigusane na mbao nyingine.

 • 3

  Kibaharia
  nguzo ndogo mojawapo inayotiwa mbavuni mwa chombo wakati wa kuundwa.

Matamshi

munda

/munda/

Ufafanuzi msingi wa munda katika Kiswahili

: munda1munda2munda3

munda3

nominoPlural miunda

 • 1

  msongo wa mguu wa mpinzani wako wakati wa kushikana miereka.

  gwato

Matamshi

munda

/munda/