Ufafanuzi msingi wa mungu katika Kiswahili

: Mungu1mungu2

Mungu1

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwenye kuumba ulimwengu na vyote vilivyomo ndani yake.

Matamshi

Mungu

/mungu/

Ufafanuzi msingi wa mungu katika Kiswahili

: Mungu1mungu2

mungu2

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    chochote kinachoabudiwa na binadamu kwa kuamini kuwa kina uwezo wa kumsaidia au kumtimizia mahitaji yake.

Matamshi

mungu

/mungu/