Ufafanuzi wa muujiza katika Kiswahili

muujiza

nominoPlural miuujiza

  • 1

    jambo lisilokuwa la kawaida.

    shani, ajabu, hekaya, kioja, dungudungu, nduni

Matamshi

muujiza

/mu:ʄiza/