Ufafanuzi wa muumbi katika Kiswahili

muumbi

nominoPlural miuumbi

  • 1

    ukambaa wa miyaa, agh. hutumiwa kwa kufungia mizigo.

Matamshi

muumbi

/mu:mbi/