Ufafanuzi wa muumbuaji katika Kiswahili

muumbuaji, muumbuzi

nominoPlural wauumbuaji

  • 1

    mwenye uwezo wa kuumbua kilichoumbwa.

  • 2

    mtu mwenye tabia ya kutoa makosa na kutia dosari kila linalofanywa.

  • 3

    mtu mwenye tabia ya kutoa siri za watu.

Matamshi

muumbuaji

/mu:mbuwaʄi/