Ufafanuzi wa muundo katika Kiswahili

muundo

nominoPlural miuundo

  • 1

    umbo la kitu kutokana na jinsi kilivyoundwa au kutengenezwa.

  • 2

    namna ya utengenezaji wa kitu.

Matamshi

muundo

/mu:ndɔ/