Ufafanuzi wa muungano katika Kiswahili

muungano

nominoPlural miuungano

  • 1

    hali ya kushikana kwa vitu viwili au zaidi na kuwa kitu kimoja.

Matamshi

muungano

/mu:nganɔ/