Ufafanuzi wa muungo katika Kiswahili

muungo

nominoPlural miuungo

  • 1

    mahali ambapo vitu vimekutanishwa au kuunganishwa.

  • 2

    namna au jinsi vitu vinavyounganishwa.

    gango

Matamshi

muungo

/mu:ngɔ/