Ufafanuzi wa muuzaduka katika Kiswahili

muuzaduka

nominoPlural wauuzaduka

  • 1

    mtu anayeuza bidhaa kwenye duka.

Matamshi

muuzaduka

/mu:za duka/