Ufafanuzi wa muwaa katika Kiswahili

muwaa

nominoPlural miwaa

  • 1

    mmea ambao majani yake yanapokauka hutumiwa kwa kusukia kili k.v. za majamvi, makanda, kamba za kitanda au kapu.

    mnyaa, mlala

Matamshi

muwaa

/muwa:/