Ufafanuzi wa muwala katika Kiswahili

muwala

nominoPlural muwala

  • 1

    uwiano wa vipengee vya kisanaa na maudhui katika ushairi na tungo nyingine.

Matamshi

muwala

/muwala/