Ufafanuzi msingi wa mvi katika Kiswahili

: mvi1mvi2

mvi1

nominoPlural mvi, Plural mivi

  • 1

    nywele nyeupe au za kijivu zinazomtoka mtu kichwani, agh. wakati anapokuwa na umri mkubwa.

Matamshi

mvi

/mvi/

Ufafanuzi msingi wa mvi katika Kiswahili

: mvi1mvi2

mvi2

nominoPlural mvi, Plural mivi

Matamshi

mvi

/mvi/