Ufafanuzi wa mviko katika Kiswahili

mviko

nominoPlural miviko

  • 1

    tendo la kupunga mizimu kwa kufanya tambiko ili mizimu itulie bila kuleta madhara.

    tambiko, sadaka

Matamshi

mviko

/mvikɔ/