Ufafanuzi wa mviru katika Kiswahili

mviru

nominoPlural miviru

  • 1

    mti mdogo laini wenye matawi yanayoning’inia, majani ya duara, maua ya manjano na uzaao maviru.

Matamshi

mviru

/mviru/