Ufafanuzi wa mviza katika Kiswahili

mviza

nominoPlural miviza

  • 1

    mti usiopukutisha majani yote, unaotumiwa kwa matambiko na dawa ya kufukuzia wanyama wakali.

Matamshi

mviza

/mviza/