Ufafanuzi wa mvo katika Kiswahili

mvo

nominoPlural mivo

  • 1

    mchirizi mkubwa wa maji ya mvua yanayopita kwa kasi.

    jimbu, dumbwi

Matamshi

mvo

/mvɔ/