Ufafanuzi wa mvuje katika Kiswahili

mvuje

nominoPlural mivuje

  • 1

    mti ambao utomvu wake hugandishwa na hutumiwa sana kuwa ni dawa za magonjwa mbalimbali.

  • 2

    mgando wa utomvu wa mti huo.

Matamshi

mvuje

/mvuʄɛ/