Ufafanuzi wa mvumanyuki katika Kiswahili

mvumanyuki

nominoPlural mivumanyuki

  • 1

    mti wenye vitawi vya miba na majani madogo yaliyochongoka na vishada vya maua yanayopendwa sana na nyuki.

Matamshi

mvumanyuki

/mvumaɲuki/