Ufafanuzi wa mvumbuzi katika Kiswahili

mvumbuzi

nominoPlural wavumbuzi

  • 1

    mtu anayeanzisha kitu muhimu kwa mara ya kwanza katika jamii.

  • 2

    mtu anayeona kitu kilichokuwa kimejificha au kimefichwa.

Matamshi

mvumbuzi

/mvumbuzi/