Ufafanuzi msingi wa mvuo katika Kiswahili

: mvuo1mvuo2

mvuo1

nomino

Matamshi

mvuo

/mvuɔ/

Ufafanuzi msingi wa mvuo katika Kiswahili

: mvuo1mvuo2

mvuo2

nomino

  • 1

    kiasi cha samaki kinachopatikana wakati wa kuvua.

  • 2

    jinsi ya kuvua samaki.

    ‘Mvuo wa juya na wa mshipi ni tofauti’

Matamshi

mvuo

/mvuɔ/