Ufafanuzi wa mvure katika Kiswahili

mvure

nominoPlural mivure

  • 1

    bakuli la mti linalotumiwa kuwekea chakula.

Matamshi

mvure

/mvurɛ/