Ufafanuzi wa mvutano katika Kiswahili

mvutano

nominoPlural mivutano

  • 1

    hali ya kugombana baina ya pande mbili au zaidi juu ya jambo fulani.

Matamshi

mvutano

/mvutanɔ/