Ufafanuzi wa mvuvi katika Kiswahili

mvuvi

nominoPlural wavuvi

  • 1

    mtu afanyaye kazi ya kuvua samaki.

    methali ‘Mvuvi ndiye ajuaye pweza alipo’

Matamshi

mvuvi

/mvuvi/