Ufafanuzi wa mwachano katika Kiswahili

mwachano

nominoPlural myachano

  • 1

    hali ya kutengana kwa kitu na kitu au mtu na mtu.

Matamshi

mwachano

/mwatʃanɔ/