Ufafanuzi wa mwadhini katika Kiswahili

mwadhini

nominoPlural wadhini

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu anayewaita Waislamu kwa sauti kubwa au kupitia kipazasauti, kujitayarisha kwenda kusali.

    mnadi

Asili

Kar

Matamshi

mwadhini

/mwaðini/