Ufafanuzi wa mwagilia katika Kiswahili

mwagilia

kitenzi elekezi

  • 1

    ingiza maji shambani kwenye mimea kwa njia ya mfereji au bomba; nyweshea.

Matamshi

mwagilia

/mwagilija/