Ufafanuzi wa mwagilio katika Kiswahili

mwagilio

nominoPlural myagilio

  • 1

    unywesheaji wa mimea; mnywesheo.

Matamshi

mwagilio

/mwagilijɔ/