Ufafanuzi wa mwago katika Kiswahili

mwago

nominoPlural myago

  • 1

    zawadi ambayo mume hutoa kumpa mkewe anapokwenda kuoa mke mwingine.

    ‘Toa mwago’

Matamshi

mwago

/mwagɔ/