Ufafanuzi wa mwaguzi katika Kiswahili

mwaguzi

nominoPlural waguzi

  • 1

    mtu anayemtibu mgonjwa na kumponya.

  • 2

    mtu mwenye ujuzi wa kufasiri ndoto au kubashiri mambo yatakayokuja.

Matamshi

mwaguzi

/mwaguzi/