Ufafanuzi wa mwainisho katika Kiswahili

mwainisho

nomino

  • 1

    tendo la kupanga vitu kwa sifa zinazofanana; tendo la kuvitofautisha vitu katika makundi maalumu.

Matamshi

mwainisho

/mwaini∫ɔ/