Ufafanuzi wa mwajiri katika Kiswahili

mwajiri

nominoPlural wajiri

  • 1

    mtu, tajiri au ofisa katika shirika au kampuni inayoajiri mtu au watu kazi kwa malipo au mshahara.

    bwana

Asili

Kar

Matamshi

mwajiri

/mwaʄiri/