Ufafanuzi wa mwajiriwa katika Kiswahili

mwajiriwa

nomino

  • 1

    mtu anayefanya kazi kwa mkataba wa kulipwa malipo k.v. mshahara kwa mwezi.

    mfanyakazi

Matamshi

mwajiriwa

/mwaŹ„iriwa/