Ufafanuzi wa mwakilishi katika Kiswahili

mwakilishi

nominoPlural wakilishi

  • 1

    mtu anayemwakilisha mwingine katika shughuli fulani.

    wakala, mjumbe

Matamshi

mwakilishi

/mwakili∫i/