Ufafanuzi msingi wa mwaliko katika Kiswahili

: mwaliko1mwaliko2mwaliko3

mwaliko1

nominoPlural myaliko

 • 1

  mwito wa kumtaka mtu au watu kuhudhuria mahali fulani.

  ualikaji

Matamshi

mwaliko

/mwalikɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwaliko katika Kiswahili

: mwaliko1mwaliko2mwaliko3

mwaliko2

nominoPlural myaliko

 • 1

  tendo la kumweka ndani mgonjwa ili kufanyiwa dawa.

 • 2

  tendo la kumweka ndani mwari.

Matamshi

mwaliko

/mwalikɔ/

Ufafanuzi msingi wa mwaliko katika Kiswahili

: mwaliko1mwaliko2mwaliko3

mwaliko3

nominoPlural myaliko

 • 1

  sauti kama ile ya kidoko kinachofanywa na ulimi.

  ualikaji

Matamshi

mwaliko

/mwalikɔ/