Ufafanuzi wa mwalimu katika Kiswahili

mwalimu

nominoPlural walimu

  • 1

    mtu anayesomesha wengine elimu au maarifa fulani.

    ustadhi, mdarisi

Asili

Kar

Matamshi

mwalimu

/mwalimu/