Ufafanuzi wa Mwami katika Kiswahili

Mwami

nomino

kizamani
  • 1

    kizamani kiongozi wa kijadi katika baadhi ya makabila ya maziwa makuu.

Matamshi

Mwami

/mwami/