Ufafanuzi wa mwanaabudu katika Kiswahili

mwanaabudu

nomino

  • 1

    mtoto wa bandia anayechezewa na watoto wadogo.

    doli, mwanasesere

Matamshi

mwanaabudu

/mwana:budu/