Ufafanuzi wa mwanabiolojia katika Kiswahili

mwanabiolojia

nominoPlural wanabiolojia

  • 1

    mtaalamu wa masuala ya viumbe na mimea.

Matamshi

mwanabiolojia

/mwanabijɔlɔʄija/