Ufafanuzi wa mwanachama katika Kiswahili

mwanachama

nominoPlural wanachama

  • 1

    mtu aliyejiunga na chama au umoja fulani.

    ‘Mwanachama wa Chama cha Madereva’

Matamshi

mwanachama

/mwanatʃama/