Ufafanuzi wa mwanafalsafa katika Kiswahili

mwanafalsafa

nominoPlural wanafalsafa

  • 1

    mtu aliyebobea au kusomesha somo la falsafa.

  • 2

    mtu aliyekwisha kutunga nadharia za falsafa.

Asili

Kng

Matamshi

mwanafalsafa

/mwanafalsafa/