Ufafanuzi wa mwanahalali katika Kiswahili

mwanahalali

nomino

  • 1

    mtoto aliyezaliwa kutokana na wazazi waliofunga ndoa.

Matamshi

mwanahalali

/mwanahalali/