Ufafanuzi wa mwanaharamu katika Kiswahili

mwanaharamu

nomino

  • 1

    mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa; mtoto aliyezaliwa na mama asiye na mume.

Matamshi

mwanaharamu

/mwanaharamu/