Ufafanuzi wa mwanaisimu katika Kiswahili

mwanaisimu

nominoPlural wanaisimu

  • 1

    mtaalamu wa masuala ya isimu na lugha.

Matamshi

mwanaisimu

/mwanaisimu/