Ufafanuzi wa mwanajeshi katika Kiswahili

mwanajeshi

nominoPlural wanajeshi

  • 1

    askari katika jeshi la ulinzi.

    askari

Matamshi

mwanajeshi

/mwanaʄɛ∫i/