Ufafanuzi wa mwanakijiji katika Kiswahili

mwanakijiji

nominoPlural wanakijiji

  • 1

    mtu ambaye maskani yake ni katika kijiji.

Matamshi

mwanakijiji

/mwanakiʄiʄi/