Ufafanuzi wa mwanamichezo katika Kiswahili

mwanamichezo

nomino

  • 1

    mtu anayejihusisha na michezo; mdau wa michezo.

Matamshi

mwanamichezo

/mwanamitʃɛzɔ/