Ufafanuzi wa mwanamimba katika Kiswahili

mwanamimba

nomino

  • 1

    ugonjwa wa tumbo katika kifuko cha uzazi ambao humfanya mwanamke kuumwa mara kwa mara na hatimaye husababisha kutozaa.

    mtuchi

Matamshi

mwanamimba

/mwanamimba/